Namshukuru Mungu kwa mambo mengi anayoendelea kututendea,kwani bila yeye sisi siyo kitu.
Ndugu mdau wa blog hii najitahdi kukupa Elmu ya kutosha,ila usikate tamaa kwa kuchelewa kuandika mambo mapya kwenye blog hii,kwa sasa niko shule na huku nafanya mambo yangu ya biashara,kwahyo nakuwa na muda mchache sana wa kuandaa mada mpya,kwahyo ndugu mdau kama una mada,au somo lolote ambalo linahusu Mambo ya biashara au kisaikolojia usisite kuniandikia,ili tuweze kushirikiana na wengine.tuma kwenye email godlistensilvan@gmail.com
Ndugu mdau samahani kwa kukuchosha ngoja tuanze mada yetu.
Jambo la kuzingatia ni
1-jiwekee malengo ya kifedha.
2-jiwekee maamuzi binafsi.
3-jitengenezee fungu la pesa za dharura
4-jitahidi kuweka hela inayolingana na matumizi yako ya mwez mzma.
5-anza kuwekeza,anza kuweka pesa kwa ajili ya baadae.
Muwe na siku nzuri.
Categories:
kwanza asante kupata mtu anayejulisha umma maswala ya kuwa na kipato cha uhakika ni wachache kama ww...
mara yangu ya kwanza kuingia humu.Ni kweli kujipanga kupata kipato cha uhakika ni jambo la muhimu sana hasa kwa waajiriwa ambao wengi tunasotea izi pesa za kupewa ilhali roho iko juu kibarua kisiote nyasi,binafsi nimejitengenezea sasa sijui niiteje biashara/ujasiriamali wa kutengeneza vifaa-sabuni nimejitahidi kupata shule yake na practicals pia na ss Mungu mkubwa naanza uza toleo langu la kwanza,changamoto zipo hasa soko watu waaze ziamini vifaa vyako.wengi wanakukatisha tamaa ila kwa sababu mtu unakua unaona mbele then unakomaa,pia shida ipo kwa malighafi za vifaa aisee Tz tuko nyuma sana kuinua wajasiliamal wadogo vingi vinaitaji mtaji wa kutosha nk nk.Tunapambana ivoivo