Asante MUNGU kwa kunipa tena fursa hiii kuandika tena kitu hiki pia naendelea kumshukuru pia ndugu mdau kwa kunipa company naa maoni yake mazuri ya hapa na pale
Ndugu mdau wangu leo nimekuja na jambo lingine kuhusu maisha
Ndugu yangu maisha siku zote ukae ukijua kuwa LIFE HAS NO SHOTCUT maisha siku zote hayananjia ya mkato,kwa maana hiyo basi wanaoendesha maisha yao kwa njia hiyo siku zote hawana furaha katika maisha yao.
kimsingi wanaotegemea kuendesha maisha yao kwa kufanya kazi ambazo sio halaliwako katika nafasi nzuri ya kuumbuka na balaakatika maisha yao kiasi cha kuwafanya kutozifurahia fedha na mali walizonazo.maisha yanaweza kuw magumu kama hautajishughulisha ,tuelewe kwa kufanya hivyo hatuwezi kupata mafanikio ya kwelina unakuwa unahatarisha maisha yako
Ndugu yangu maisha siku zote yanavikwazo vingi na kila penyemafanikio hapakosi watu waliovumilia shida kwa muda wakati wakisubiria raha tunatakiwa tuwe watu wasubira katika maisha yetu.
Mdugu yangu kwa leo tuishie hapa.

Categories:

Leave a Reply