Ndugu yangu kabla ya chochote napenda kumshukuru Mungu kwa mambo mengi mema anayoendelea kunitendea mimi na wewe.
Ndugu yangu Mungu ametuumba ili tufanikiwe,sasa tutafanikiwaje?zingatia haya yafuatayo
(1)usidharau kila wazo linalokujia.
(2)usiwe na dhana kuwa hauna elimu.
(3)usiangalie umri wako;kwani kufanya hvyo inaweza kukurudisha nyuma.
(4)usiwe na dhana kuwa sina kipato sasa ukitaka usirudi nyuma usishikilie hayo
(5)kuna watu wanadhana kuwa hawastahili kufanikiwa(ukiangalia back ground yako,labda ya familia au ukoo wake na hakuna mtu aliyefanikiwa au hakuna mtu aliyesoma na hakuna mtu tajiri,ukishakuwa na dhana kama hyo ndugu yangu unatengeneza njia za umaskini
(6)sina Muda
hakuna jambo baya kwa mtu kusema kuwa hauna muda hii ni jambo la ajabu sana,ambalo litakurudisha nyuma
ndugu yangu zngatia hayo hapo juu na Mungu atakufanikisha na kukufanyia njia panapokuwa hakuna njia.
Categories: