Asante Mungu kwa kunipa tena nafasi ya kuandika tena hapa
pia napenda kukupongeza wewe ndgu mdau kwa kunipa ushrikiano wako kwa maoni yako
Leo napenda kushare nawewe juu ya hili jambo ambalo mimi ninaamini ndivyo lilivyo na itabaki kuwa hvyo milele yote;
ndgugu yangu mdau jambo lenyewe ni hili,
mimi huwa naamini katika kitu kimoja muhmu sana katika maisha ambacho ni kwamba MAFANIKIO NI KITU AMBACHO NI MTU MWENYEWE ANAAMUA AWE HVYO AU NI MAAMUZI BINAFSI YA MTU
Na Binadamu siku zote anafanana na mawazo yake,kwahyo ili mtu abadilike au abadilishe maisha yake lazma kwanza abadilishe jinsi anavyofikirh au anavyowaza kwahyo ndugu yangu
KUWA MASIKINI NI MATOKEO YA KUWAZA KIMASIKINI
NA KUWA TAJIRI NI MATOKEO YA KUWAZA KAMA MTU TAJIRI
Ndugu yangu hayo ndio niliyofanikiwa kwa leo.
Categories:
G
Muy buen trabajo el desarrollado con este blog, segui posteando...
Ahi te dejo para que lo cheques:
www.lasaludnatural.blogspot.com
fer