Ujasiri amali ni nguzo ya maendeleo ya nchi yeyote ile duniani,iwapo kuna wajasiri amali wengi na wenye ufahamu na uwezo wa kiuchumi,
sasa hawa watu lazima wapewe ushirikiano mkubwa kutoka kwa serkali.
Wajasiri amali wenyewe wawe kwenye nafasi ya kusema wasikike na waweze kuwa na vitendea kazi,upatikanaji wa mitaji kwa nyakati sahihi na kwa gharama ama riba sahihi au nafuu,vingnevyo wajasiri amali watabaki kuwa watu duni,.
Barikiwa.
Categories: