Ndugu zangu napenda kumshukuru Mungu kwa kunipigania ktk hatari zote za Roho na za mwili mimi na wewe ndugu mdau
ndugu mdau nw nimerudi tena kikazi zaidi kwahyo naomba ushirikiano wako,wa kimawazo,na maswali mbalimbali kuhusu mada husika ndugu zangu naombeni ushirikiano
vilevile nimeiboresha blog sasa itakuwa inaonekana mpaka facebook,twiter nk
karibuni kwa ushirikiano na Mungu awabarikini.

Categories:

Leave a Reply