Napenda kumshukuru Mungu kwa mambo mengi anayoendelea kunitendea mimi na wewe ndugu mdau leo ningependa tupate kwa angalau kwa uchache hili jambo ambalo najua linaweza kukusaidia
Ndugu mdau Mungu ameweka kitu ndani yako isipokuwa tu huenda kuna sehemu ulikuwa hufahamu ni kitu gani mungu amepanda ndani yako kupitia blog hii utaenda kugundua nini Mumgu amepanda ndani yako,na baada ya hapo utaenda kufanya mambo makubwa sana kwasababu nini,kusudi la Mungu kukuleta wewe duniani siyo kupata mambo madogo madogo tu,MUNGU amekuumba ili uwe na maisha bora uweze kutawala maisha yako tofauti na ulivyo kwa sasa,MUNGU amekuumba ili uweze kula vizuri zaidi ili uweze kuishi vizuri, uweze kukaa kwenye Nyumba nzuri,usibakie ktk mazngira magumu,kwa sababu siyo mpango wa Mungu kukuweka wewe ktk mazngira magumu,siyo mpangu wa mungu kukuweka wewe ule mlo mmoja tena wa kubahatisha na vilevile mlo ambao ni duni,ninatumaini sana unaweza kufanya mabadiliko makubwa ktkb maisha yako na blog yako hii imewekwa maususi kwa ajili ya kukufanya wewe ili upate mabadiliko,kwa hyo endelea kusoma zaidi ili uweze kupata elhmu ya kukuletea maendeleo zaidi ili uweze kukua kifikra,ili uweze kukua kimaendeleo,unajua watu wengi wana kiu ya kutaka kufanikiwa na huenda mnajiuliza maswali mengi sana,
kitu nilichogundua ktk mafanikio ni vita kubwa sana kuna vita kubwa sana .
Ndugu mdau ntaendelea kesho.

Categories:

Leave a Reply