Nakushukuru Mungu muumba mbingu na nchi kwa mambo mengi unayoendelea kunitendea mimi pamoja na mdau wangu
ndg mdau wiki iliyopita nilikuletea mada nzuri na leo ndio muendelezo wake
Nilisema kwamba mafanikio ni vita kubwa sana,kuna vita vya kurudisha nyuma kwa sababu mafanikio mara nyingi ni adui huwa hayafurahii sana,kwahxo kuna njia nyingi sana za kukurudisha xewe nyuma ikiwemo ya kukufanya wewe kuwa na fikra duni,anakufanya wewe ulale usingizi ambao hauna maana yeyote kwako,kila unapo taka kukaa kufikiria kitu cha maana unapitiwa na usingizi,unapitiwa na wimbi kubwa litakalo kukupoteza wewe kumbukumbu,kwahyo ndugu jihadhari sana kwa sababu uchunguzi nilioufanya bado wengi tupo kwenye mfumo wa maisha ya kubahatisha,kwahyo ndugu mdau ukitaka kufanikiwa ni lazima uwe na malengo madhubuti.
Ndugu mdau ntaimalizia mada hii kesho
uwe na siku nzuri barikiwa.
Categories:
Kaka Godlisten
Kwa niaba ya familia yangu na wapenda mema wote nakutakia kila lililo jema wakati huu wa sikukuu na usalama kuelekea mwaka mpya
Baraka kwako
Na wewe pia kaka
Asante kwa ujumbe huu hope WATANZANIA WOTE WAUSOME
Kwel bro Meshack naomba na wewe huitangaze blog ye2 ili watu wapate vitu vilivyo vema!
Naomba ushirikiano wako.