Nakushukuru Mungu kwa kunipa tena nguvu na uweza wa kurudi tena,
ndugu mdau nina mfululizo wa mafunzo kidogo wa masomo nataka kushare na wewe ingawa itakuwa kwa Muda kama vpindi vwili au vitatu hakika ndugu mdau baada ya kusoma ntakayo yaandika hakika utabadilika na utajitambua huko wapi na wapi ulikotoka na wapi unaelekea,kwa hyo ndugu mdau stay tuned.......
Categories: