Nakushukuru Mungu Muumba mbingu na dunia kwa mambo mengi unayoendelea kututende,nasema asante.
Ndugu mdau leo ngoja niendelee na mada yetu inasema kuwa UNAJUA KUSUDI LA MUNGU KUKULETA HAPA DUNIANI?
Mtu kuwa na malengo madhubuti pia hayo malengo mathubuti hayaji hivi hivi,kwani mafanikio yanapangwa yanapangiliwa toka katika hatua moja kwenda hatua nyingine,usipofanya hvyo unaweza kuishi hivihivi tu,kwahyo jaribu kukaa na kutafakari wapi umetoka wapi ulipo na wapi unaenda,jaribu kujiuliza maswali hayo
barikiwa
Categories:
G, mambo vipi? mzima wewe??? hongera sana kaka kwa namna unavojitahidi kuikomboa jamii ya watanzania ambayo imejkita zaidi katika kutegemea ajira za serikalini.mimi napenda pia kukupa WEWE fursa flan ambayo kama utaikubali utakuwa kweli umesimamia mawazo yako mazuri na mema ya kwanza kujikomboa wewe, kuwakomboa ndugu jamaa na marafiki zako kiuchumi. AMINI NNACHOKWAMBIA NA UKUBALI WITO UKATAE MANENO. TUWASILIANE KWA NAMBA 0714 094802 au Email-lekeyst@gmail.com.ASANTE NA MUNGU AKUONGOZE KUNIELEWA