Namshukuru Mungu kwa mambo mengi anayoendelea kunitendea mimi na wewe ndugu mpendwa mdau wa blog hii,na nashukuru kwa ushirikiano mkubwa ninaoupata kutoka kwako,nakushukuru kwa ushirikiano huo,na wewe unaposoma masomo hayo usisite kumwambia na mwenzako,nimeamua kutoa shukrani hzi za dhati kwasababu nimekuwa nikipokea simu nyingi kutoka sehemu mbalimbali za hapa na nje ya nchi yetu. Kesho naendelea na somo letu linalosema UNAJUA KUSUDI LA MUNGU KUKULETA HAPA DUNIANI?
Barikiwa.

Categories:

Leave a Reply