Ndugu mdau soma kwanza sehemu ya kwanza.
Ndugu mdau napenda kumshukuru Mungu kwa kutuwezesha kuiona tena siku hii ya leo,tunamrudishia sifa na utukufu.
Ndugu mdau napenda kuendelea na mada yangu ya jana iliyokuwa inasema KUSUDI LA MUNGU KUKULETA DUNIANI UNALIJUA?
Naendelea jana niliishia.:Mungu amekuumba ili uwe na maisha bora uweze kutawala ili uweze kula vizuri zaidi,ili uweze kuishi vizuri usibakie ktk mazingira magumu,kwasababu siyo mpango wa Mungu kukuweka wewe katika mazingira Magumu,siyo mpango wake kukuweka wewe ule mlo mmoja tena wa kubahatisha na vilevile mlo ambao ni duni,ninatumaini sana unaweza kufanya mabadiliko makubwa katika maisha yako,na blog yako hii imewekwa mahususi kwa ajili ya kukufanya wewe ili upate mabadiliko,kwahyo endelea kusoma zaidi ili uweze kukua kifra,ili uweze kukua kimaendeleo,unajua watu wengi wana kiu ya kutaka kufanikiwa na huenda mnajiuliza maswali mengi sana.
Ndugu mdau ntaendelea na muendelezo huu kesho najua nakukatizia uhondo.tafadhali ndugu mdau endelea kuwa nami ktk blog hii,naomba uitangaze zaidi kwa watu wengine,na unaposoma usisite kutuma maoni yako.
Kwa mawasiliano zaidi nami unaweza kuwasiliana nami
godlistensilvan@gmail.com au +255713352384
Categories: