Ndugu mdau wa blog hii napenda kumshukuru Mungu kwa mambo mengi anayoendelea kunitendea mimi na wewe,ni jambo la kumshukuru Mungu.
Ndugu mdau leo nimependa kuandika japo kwa kidogo kuhusu Nini Mungu ameweka ndani yako?.
Mungu ameweka kitu ndani yako isipokuwa tu huenda kuna sehemu ulikuwa hufahamu ni kitu gani Mungu amepanda ndani yako,kupitia blog hii utaenda kugundua nini Mungu amepanda ndani yako na baada ya hapo utaenda kufanya mambo makubwa sana kwa sababu nina uhakika kuwa Mungu hajakuumba ili upate mambo madogo madogo tu,MUNGU amekuumba ili maisha yako uwe na maisha bora uweze kutawala maisha yako,tofauti na ulivyo sasa,ndugu mdau ntaendelea kesho na mada hii kwa urefu zaidi. BARIKIWA
Categories:
Ubarikiwe nawe pia! nasubiri muendeleo.
Sawa dada Yasinta.tayari nimeshaandika