Ahmidiwe Mungu muumba mbingu na dunia,
Ndugu mdau wa blog hii siku zote ukae ukijua kwamba, life has no shot cut,maisha hayana njia ya mkato,kwa maana hyo basi wanaoendesha maisha yao kwa njia ya mkato hawana furaha ktk maisha yao,kimsingi wanaotegemea kuendesha maisha yao kwa kufanya kazi ambazo sio halali wako ktk nafasi nzuri ya kukumbwa na balaa ktk maisha yao,kiasi cha kuwafanya kutozifurahya fedha na mali walizo nazo,maisha yaweza kuwa magumu kama hautajishughulisha,tuelewe kwa kufanya hvyo hatuwezi kupata mafanikio ya kweli. na tutakuwa tunahatarisha maisha yetu ndugu yangu maisha siku zote yana vikwazo vingi na kila penye mafanikio, hapakosi watu waliovumilia shida kwa muda wakati wakisubiri raha,tunatakiwa kuwa watu wa subira maishani mwetu.
Categories:
Yah; uvumilivu ni jambo la muhimu ktk maisha yetu:- Hata Yesu mwenyewe alipokuwa kufani katika njia ya mateso aliyavumila mateso mpaka mwisho na hatimaye kutuletea sisi ukombozi. Amen
Kweli dada yasinta,uvumilivu ni jambo la Muhmu sana sana.