Kufaulu ktk maisha au ktk kitu chochote unachofanya hakumaanishi kwamba,wakati wote ni kufanya kile ambacho ni the best,kitu ambacho ni kizuri ambacho hakuna mtu yeyote ambaye hakuwahi kufanya,kushinda maana yake ni kufanya kitu ambacho ni bora kuliko ambacho ulichowahi kufanya,kwahyo ndugu kila wakati omba Mungu akufundishe uwe na tabia ambayo unafanya,kila bora ambacho ulichowahi kufanya ktk maisha yako ya jana.
Barikiweni

Categories:

Leave a Reply