napenda kumshukuru MUNGU wetu kwa mema mangi anayo nitendea mimi na wewe ndugu mdau ,ndugu wapendwa wa blog hii,najua mnahamu sana kupata habari mpya kila siku,ndugu mdau kwasasa nipo shule naongeza maharifa kidogo.kwahyo ndugu mdau napenda kuomba ushirikiano wako, kama mdau yeyote ana chohote ambacho anataka kushirikiana na sisi anakaribishwa kwa moyo mmoja. kama huna mada nzuriunataka kushirikiana nasi usisite kuniandikia kupitia godlistensilvan@gmail.com au godlistensilvan@yahoo.com.ndugu mdau unakaribishwa kwa moyo mkunjufu BARIKIWENI
Categories: