Ndugu mdau namshukuru Mungu kwa mambo mengi ya mema anayoendelea kunitendea mimi na wewe ndugu mdau,
Ndugu mtanzania mwenzangu na mdau wa blog hii,Ujasiri amali ni nguzo ya maendeleo ya nchi yeyote ile duniani,unapokuwa na wajasiri amali wengi wenye ufahamu na uwezo wa kiuchumi nchi ndivyo inavyoweza kuinua uchumi wa watu,na kuleta maendeleo na kinyume chake ni nchi duni yenye watu duni na maendeleo duni ya kiuchumi,nchi inapohtaji wajasiri amali wengi nchini,ni lazima nchi au wajasiri amali wenyewe wawe kwenye nafasi ya kusema wakasikika na waweze kuwa na vitendea kazi,upatikanaji wa mitaji kwa wakati sahihi na kwa gharama au riba sahihi,vinginevyo wajasiri amali wata baki kuwa watu duni,na kazi hazitaongezeka.
BARIKIWENI.
Categories: