Namshukuru Mungu kwa mambo anayoendelea kunitendea.
Ndugu mdau karibu tena ktk uwanja huu mtulivu,nikiingia kwenye mada yetu ni hv,kuna watu wameajiriwa lakini bado hawajajua nini mwajiri wake anataka kutoka kwake,kwahyo ndugu mdau nimejaribu kufanya kauchunguz na nikafanikiwa kuyagundua haya
i-waajiri wengi siku zote wanahtaji UCHAPAKAZI,wanahitaji unapoingia kazi na kuanza kufanya kaz mara moja sio mpaka awe ni wakusaidiwa muda wote.
ii-vilevile waajiri wengi wanahtaji mtu ambaye ni mwaminifu wa fedha na awe na kumbukumbu na muda.
iii-vilevile waajiri wengi wanahtaji Team bulder(team worke)kushirikiana na wengine,kuwa na mshikamano ni jambo la muhmu sana ndugu mdau.
iv-wanahtaji kuwa na mtu mwenye mawasiliano mazuri na watu wengine,yaani kwa kifupi naweza kusema mtu wa kujieleza na kueleweka vizuri zaidi
v-vilevile ndugu mdau waajiri wengi wanapenda mtu ambaye mbunifu,kuleta mawazo mapya,mtu wa kuangalia mbele,kwa kifupi uwe mtu wa malengo.
Vi-vilevile awe ni mtu ambaye si wa upande wowote ule.
Ndugu mdau ni hayo tu niliyofanikiwa kuyapata kama mtu una ya zaidi usisite kuniandikia maoni yako.
Uwe na wakati mzuri
barikiwa.

Categories:

Leave a Reply