Namshukuru Mungu kwa mema mengi anayonitendea mimi na wewe nazidi kumpa cfa na u2kufu,
Hatimae cku ya wapenzi kudanganyana na maambukizi ya ukimwi imefika, jitahdi kuokoa maisha yako,rangi nyekundu ya leo inaashiria damu sio upendo maana naamini pendo la kweli halina cku maalum,TANZANIA BILA UKIMWI INAWEZEKANA NA KUAMBIWA SINA MWINGINE UNADANGANYWA,
valentine njema.
Categories:
Leo kuna idadi nzuri tu ya watanzania wenzetu ambao kwa kushindwa kuelewa maana ya upendo na kupendana watakuwa wakiambukizana UKIMWI. Eti kupendana ni kufanya ngono. Kuna kazi kubwa mbele yetu.
Kweli bro Bwaya kuna uwezekano mkubwa sana kwa siku hii ya leo watu kuambukizana.