Namshukuru Mungu kwa mambo mengi anayonitendea mimi na wewe ndugu mdau,na samahan kwa kuchelewa kuandika mada kwenye blog híi.kwasasa nipo masomoni,na huku nafanya biashara,kwahyo nakuwa busy kimtindo,ndio maana napenda kuweka blog hii wazi kama mtu unacho chochote kitu unachotaka kushirikiana na sisi unakaribishwa,kutoa maoni au kuniandikia kabisa ili nami niipost kwenye blog hii na wengine wapate chochote,ili tubadilishane mawazo,na mada zinazohtajika kwenye blog hii ni kuhusu biashara na mambo ya saikolojia,na stori za mafanikio na mambo kama hayo.kwahyo kwa mawasiliano yangu ni
godlistensilvan@yahoo.com au
godlistensilvan@gmail.com au
godlistensilvan@hotmail.com.
Au kama utanitumia kwanjia ya sms
ni 0713352384
usisahau kuandika jina lako tafadhali ndugu mdau,tusaidiane kwa hilo,na tutaona mabadiliko
barikiwen.
Categories: