Namshukuru Mungu kwa mambo mengi anayoendelea kututendea,kwani bila yeye sisi siyo kitu.
Ndugu mdau wa blog hii najitahdi kukupa Elmu ya kutosha,ila usikate tamaa kwa kuchelewa kuandika mambo mapya kwenye blog hii,kwa sasa niko shule na huku nafanya mambo yangu ya biashara,kwahyo nakuwa na muda mchache sana wa kuandaa mada mpya,kwahyo ndugu mdau kama una mada,au somo lolote ambalo linahusu Mambo ya biashara au kisaikolojia usisite kuniandikia,ili tuweze kushirikiana na wengine.tuma kwenye email godlistensilvan@gmail.com
Ndugu mdau samahani kwa kukuchosha ngoja tuanze mada yetu.
Jambo la kuzingatia ni
1-jiwekee malengo ya kifedha.
2-jiwekee maamuzi binafsi.
3-jitengenezee fungu la pesa za dharura
4-jitahidi kuweka hela inayolingana na matumizi yako ya mwez mzma.
5-anza kuwekeza,anza kuweka pesa kwa ajili ya baadae.
Categories: