Asante Mungu kwa matendo makubwa unayoendelea kunitendea mimi na mdau wa blog hii.na nashukuru kwa kunipa tena fursa ya kuandika tena ktk uwanja huu na mrudishia sifa na utukufu,na nakushukuru ww ndugu mdau wa blog hii kwa kunipa moyo kunipa ushauri na ushirikiano napenda kuwashukuruni wote ntawataya wachache
napenda kumshukuru Dada yasinta
brother Bwaya
ndugu Markus mpangala
sister koero mkundi na shabani kaluse na brother mbilinyi nawaombeeni kwa Mungu mbarikiwe.
Categories:
Asante kwa kutushukuru na wewe pia tunakushukuru kwa kuendelea kuihabarisha jamii juu ya ujasirioamali.
Bila shaka tutashirikiana tena kwa mwaka huu 2009. Kila la heri kaka.