Napenda kumshukuru Mungu kwa mambo mengi anayoendelea kututendea..ndugu yangu mpenda blog hii kuna kitu kinanitatiza hv mtu ameletwa hapa duniani ili uje kufanya nini?,ufanye ili uishi au uishi ili ufanye? Hebu nisaidieni hapa jamani?karibuni na Mungu awaongoze kupata ufumbuzi wa hili jambo BARIKIWENI.
Categories:
uishi ili ufanye. huwezi kufanya kabla ya kuishi so mi naona ni kuishi ili ufanye