Kwanza napenda kumshukuruMUNGU kwa mambo mengi anayonifanyia mimi na wewe,ni mambo makubwa sana sana,
ndungu mpenda blog hii ambayo imepania kufanya mapinduzi ya watanzania na watu wote kwa ujumla,sasa ndugu mdau nilikuwa naomba ushauri wako,ni hivi nina marafiki zangu mbali mbali wanaopenda blog hii.ila tatizo kubwa hapa ni lugha,mimi mwenyewe si mzuri khvyo kwenye kingereza,lkn nataka kuandika na wale kule wapate kile ambacho nakiandika,sasa je nikitumia lugha hiyo japo mara 2 kwa wiki ni vbaya,au nitawapoteza baadhi ya wadau? Au nitaongeza wadau!? Naomba mchango wako wa mawazo barikiweni.

Categories:

2 Responses so far.

  1. Anonymous says:

    sio vibaya kutumia lugha ya kingereza pia, mi naona itasaidia hata watu wa kule kutembelea blog hii, na itasaidia pia ongezeko la watu wengi kuifahamu hii blog n.k. keep it up, best naona unajitahidi sana c mchezo n wish u all da best
    Happy(felister)

  2. Kwangu, nafikiri lugha si jambo la maana sana. Muhimu ni ule ujumbe kuwafikia watu walio wengi ipasavyo.

    Unapotafakari hili kuna sababu ya kuangalia ikiwa watumiaji wa lugha hiyo wanashindwa kabisa kukielewa kiswahili.

    Vinginevyo, naona lugha isitubane. Uhuru ni mzuri.

Leave a Reply