Ahmidiwe Mungu mkuu mungu uketie maali palipo juu,asante Mungu kwa mambo mema mengi unayoendelea kututendea Baba asante.
Ndugu mpendwa wa blog hii,mwez ndio umeisha na mwaka bado mbichi,sasa ndugu mdau wa blog hii nimepata maoni mengi kutoka kwa wadau wakitaka ni waambie aina ya malengo.na mimi bila hiyana nataka nikuandikie aina za malengo kwa binadamu anayopaswa kujiwekea ktk maisha yake.
Malengo yenyewe nikama ifuatavyo.
I-malengo ya kimwili(physical goals)
2-malengo ya kifedha(financial goals).
3-malengo ya kiroho(spiritual goals(.
4-malengo ya kikazi(careel goals).
5-malengo ya kiakili(mental goals).
6-malengo ya kijamii(social goal).
Ndugu mdau hayo ndio nimeweza kuona aina hzo za malengo kama kuna mdau yeyote ambaye anachochote cha kuongezea anakaribishwa.
Barikiwa.
Categories: