Namshukuru Mungu kwa mambo mengi anayoendelea kututendea,
ndugu wadau nipo,na naandaa masomo mengi zaidi ya kufungia huu mwaka,naomba muendelee kuwa na subira,naomba tuendelee kuwa na ushirikiano wenu ni muhmu sana kwangu,na kwenu nyie kwani ushirikiano ni kitu cha muhimu sana kwa maisha ya sasa.
Barikiweni.

Categories:

3 Responses so far.

  1. Ni kweli kushirikiana ni kitu kizuri sana katika maisha. Ukishiriki basi na wenzako watashiriki. kushiriana. Umoja ni nguvu unyonge ni udhaifu. tunasubiri kwa hamu hayo masomo ya kufunga mwaka.

  2. Shayo, tunasubiri kwa hamu shule unayoiandaa. Nataraji kwmaba itatufunza mengi.

    Ni vyema wote tukajenga utamaduni wa kuingiliana kwa kujadili yanayoandikwa na wenzetu. Hilo litasaidia kubadilishana mawazo na kuleta changamoto zaidi. Tusiwe wanablogu wakiwa.

    Maandalizi mema Shayo.

  3. Unknown says:

    Asanteni sana kwa mchango wenu mkubwa wa kimawazo,dada Yasinta na Kaka Bwaya,ningependa kweli tuwe na ushirikiano wa kweli.nawatakienieni cku nzuri
    barikiweni

Leave a Reply