Mungu Ni mwema kwangu mimi na wewe pia ndugu mdau,ndugu mdau namshukuru mungu kwa kunipa tena Muda wa kujoin na nyie tena,c mnajua tena wakubwa lazma 2check kwanza malengo yetu kama yametimia,na kwa ndugu yangu ambaye malengo yake hayajatimia ucfe moyo,kwani bado cku zmebakia,kwanzia kesho uckose hata cku moja mada ambazo nimekuwa nikiziandika,naomba endeleeni kuwa nami,nakuombeana tuwe pamoja na ushirikiano .
Barikiweni.

Categories:

2 Responses so far.

Leave a Reply