Namshukuru Mungu kwa mambo anayoendelea kututendea,ni mema makubwa na ya ajabu,na anaendelea kutufanyia njia pasipo na njia,
mjasiri amali yeyote lazma awe na sifa hapa nitatoa kwa uchache sifa za mjasiri amali
i-kuwa mbunifu
ii-kuwa mchapakazi
iii-mwenye malengo
iv-kutokata tamaa
v-mwaminifu
vi-kuwa mvumilivu
kama kuna mwingine anayejua sifa zaidi ya hzo asisite kuniandikia
godlistensilvan@gmail.com
muwe na wakati mzuri.
Categories:
Naona umetaja zote ila nikukumbuka nitarudi tena. Hizo ni sifa nzuru na ni kweli kila mjari amali anahitaji kuwa nazo.
Kweli dada yasinta,karibu tena