Kwanza napenda kumshukuru Mungu kwa kuendelea kunipigania,namrudishia sifa na utukufu.
Tukianza mada yetu ni hivi,kwa watu walioajiriwa wanatakiwa kujua nini waajiri wanataka kutoka kwako,jambo la kwanza wanalotaka ni
i-uchapakazi ni mtu ambaye akiingia kazini na kuanza kazi mara moja na sio mpaka kusaidiwa muda wote,au kuelekezwa na mtu.
ii-vilevile wanataka mtu mwaminifu wa fedha kumbukumbu na muda
iii-team bulder(team worker) kushirikiana na wengine.
Iv-kujieleza na kueleweka vizuri zaid.
V-mbunifu,kuleta mawazo mapya kuangalia mbele.
Vi-awe ni mtu wa malengo.
Ndugu zangu ukiyafanya haya utadumu kazini.
Fanya hvyo na utaona.

Categories:

4 Responses so far.

  1. Unknown says:

    Asante dada yasinta kwa kupitia blog yangu.tuendelee kushirikiana

  2. Ni kweli G, hayo ni kati ya yanayoweza kukuweka kazini, lakini pia kuna kila baya la zuri lolote duniani. Ni lazima kujua kuwa katika kila unalofanya, basi uwe na kiasi la sivyo litaathiri utendaji wako. Kufanya kazi sana ni nzuri ila ukipitiliza utawafanya watu wahisi unataka waonekane wavivu na hutopata team work kisha hutoaminika na utajengewa chuki na kwa vyovyote utatolewa kazini. Kuwa team worker zaidi ya kiasi kutawafanya wale wenye kutoelewana wadhani unahamisha maneno baina yao na hilo litaanzisha chuki kwako na kisha utatolewa. Kwa ujumla ni kukumbusha kuwa kila kilicho chema huwa chema kikitendwa kwa kiasi na ndilo kuu tuhitajilo.
    Kazi nzuri na Ubarikiwe.

  3. Unknown says:

    Asante mzee wa changamoto,unajua hata kama watu hawatakupa ushirikiano,utakapofukuzwa kama ulikuwa na juhudi lazima pengo lako litaonekana tu,ndipo mwajiri wako hatakapoona kuwa alifanya maamuzi ambayo si sahihi.

Leave a Reply