Napenda kumshukuru Mungu kwa neema na rehema zake
leo ningependa tu kuwakumbusha wajasiriamali/wafanyabiashara wenzangu mambo ambayo naamini kabisa tumeyasahau au tumeyadharau na kuona hayana umuhmu kwetu,kumbe tunajidanganya wenyewe,ninachotaka kuelezea hapa ni huduma kwa wateja zetu,ingawa sipendi kuwaita wateja napenda kuwaita wanunuzi,kwakusema kweli tunahtaji kujua kuhusu ili jambo linalohusu Huduma kwa mteja,kwahyo ndugu wadau naomba muwe na subira mada inayokuja ntatoa funzo la huduma kwa wateja,ambayo naona kwa hapa kwetu Tanzania mteja ndiye anamnyenyekea mtoa huduma badala ya yeye kupewa kipaumbele,wadau muwe na wakati mzuri na maandalizi mema ya somo liyalo
barikiweni.

Categories:

Leave a Reply