Kwanza namshukuru Mungu kwa kuendelea kutufanyia njia pasipo na njia
leo nataka niendelee na mada yetu,baada ya kuangalia tatizo lakwanza la kutokuwa na maono makubwa leo ningependa tuendelee na jambo la pili.
Kukosa ujasiri hili sitaliongelea sana kwani nilishalielezea kwenye mada zangu za njuma,jambo la tatu na la Mwisho ni mawasiliano duni,hapa ni jambo Muhmu sana watanzania hatuna mawasiliano na kama tunayo ni duni,kwa hapa Tanzania 6%ya watanzania ndio wanaotumia huduma za internet tu,tofauti na kenya ni 43%umeona tofauti wakubwa,unajua unapokuwa na mawasiliano,kufanikiwa kwako nirahsi kuliko mnavyohisi,ndugu zangu sina mengi yakuelezea,kama unaswali maoni usisite kuniandikia kama ni private unaweza kutumia email
godlistensilvan@gmail.com.
Muwe na wakati mzuri
Barikiweni.
Categories: