Ahmidiwe Mungu mkuu kwa mema mengi anayoendelea kunitendea mimi na wewe.ngoja tuanze mada yetu hapahap Baadh ya wafanyabiashara na wajasiri amali nchini,hawatilii uzito unaostahli suala hili katika nadharia nzima ya biashara,mitaji na masoko
nikweli kwamba wapo wateja ambao siku zote ni walalamishi hata ungewahudumia kwa ukarimu kiasi gani.
Lakini ni kweli pia kuwa wapo wateja walalamish lakini ndani ya malalamishi yao,kuna mambo yenye mantiki.
Si kila mara mteja wako anapolalamika,huwa kwa jambo lisilo la msingi.mara nyingi malalamiko ya wateja ya na ukweli ndani yake.
Ni mara chache malalamiko yao utayakuta hayana maana.uliza wafanyabiashara waliofanikiwa watakuambia.
Mfano,mteja wako akikulalamikia kwamba ana wasiwash na mizani hyo umeifanyia maujanja kwa kuweka sumaku kuongeza shaba ili uzito ulemee upande mmoja,kuna haja ya kujitutumua huku ukibisha?ukishaona mteja ambaye anakupa malalamiko yenye ukweli ndani yake huyo nimteja mzuri sana kwani anakutakia mema kwenye biashara yako.kufika hatua ya kukuambia udhaifu wako ni wazi kwamba anapenda kuendelea kununua bidhaa kwako.naomba msome hz mada ninazoandika kwamakini,na ningependa kama mngeandika n comments,unajua ni jambo la busara mtu unapopitia makala ya mtu ukaacha maoni au nyie mnasemaje?

Categories:

3 Responses so far.

  1. sawa sawa kabisa hii inaitwa kusikiliza wateja. kama ulivyosema ukiwasilikiza wajetja watakuoka. na inawezekana ukapata wateja wengi atakutangazia baashara kuwa wewe ni mfanyabiashara msikilizaji, mzuri nk.

  2. Unknown says:

    Kweli dada,na asante kwa kutembelea blog yangu.

  3. Ujasiriamali. Neno hili lilinichukua muda mrefu kulielewa.

    Asante kwa kutupa somo zuri kuhusu mambo haya ya 'kujasiriisha' kazi zetu kwa manufaa zaidi.

Leave a Reply