Kwanza ya yote ahmidiwe Mungu mkuu,MUNGU uketie mahali palipo juu,namshukuru Mungu kwa mambo mengi anayoendelea kututendea mimi na wewe.
Mjasiri amali aliyeajiriwa anapaswa kujua kuwa kupata kazi ni rahisi tatizo ni kuitunza kazi.
Mjasiri amali anapaswa kuzingatia haya ukiwa kazini
i-ku kaa kazini Muda unaopaswa
ii-kufanya kazi muda wote anaohitajika.
iii-kuongeza ujuzi kila wakati.
iv-kuwa na possitive atitude(mtazamo chanya).
v-kumweshimu mwajiri wake.
Ninavyosema kumweshimu mwajiri si kama watu wengi wanavyofikiri bali ni
i-kufanya kazi waliyohaidiana
ii-kufanya kazi za mwajiri wake
iii-kutunza muda wa mwajiri wake
iv-kutotumia vifaa vya ofisini kwa manufaa yake binafsi,haya yote ni kutomweshimu mwajiri wako,unapaswa kutambua kuwa nafasi uliyopewa ni ya kipekee,unapaswa kumwonyesha mwajiri wako nguvu kazi zako,unapaswa kutii sheria za kazini kwako kwamba yale yote mliyokubaliana kuyafanya uyafanye kwa faida yako wewe.

Categories:

Leave a Reply