Nakushukuru Mungu muumba mbingu na dunia,MUNGU uketie juu palipo inuka,na sema asante.
Ngoja tuingie kwenye mada yetu,kila siku kukicha hapa nchini hili neno Ujasiri amili ninini? Nilisha elezea huko nyuma maana ya ujasiriamali na mjasiri amali ni nani?
Leo nitataka muelewe nini maana ya ujasiriamali
UJASIRI AMALI NI KILE KITENDO CHA KUKUSANYA MAHITAJI AMBAYO YANAHITAJIKA KTK KUANZISHA BIASHARA.NA UKAIANZISHA HIYO BIASHARA NA IKAENDESHWA HIYO BIASHARA NA IKaWEZA KUTENGENEZA FAIDA KUTOKA KWENYE HIYO BIASHARA.KITENDO CHOTE HICHO NDICHO TUNAKIITA UJASIRI AMALI.
Categories:
Mmh asante kwa kufafanua hilo neno. unajua mimi nataka kufungua biashara kwa hiyo najua wapi niulize
Kweli dada,unajua kuwa kujiajiri ni jambo la umuhmu kweli kwa wakati huu,ukibaki ktk ajira kufanikiwa kunakuwa hakuna,kwahyo dada ukiwa na swali lolote usisite kuniambia.