Ahmidiwe Mungu mkuu uketie mahali palipo inuka,nakurudishia sifa na utukufu kwa mambo mengi unayoendelea kututendea.
Nchini Tanzania kuna rasilimali nyingi ambazo hazijatumiwa ipasavyo katika kuwaletea tija wananchi walin ama wapo jirani nazo au zile wanazoshughulika nazo kila kukicha,hali inayochangia umaskini kwa walio wengi.
Miongoni mwa biashara zenye faida kubwa lakini wahusika wake hawana elimu tosha kukidhi masoko,hapa nchini kuna rasilimali nyingi sana,nina uhakika mtu akikomaa kwa muda wa miaka 3 lazima utatoboza tu,tujipange sawa sawa tu ili tutoboze.
Categories: