Kwanza napenda kumshukuru Mungu kwa mambo mengi anayoendelea kunitendea mimi na wewe.kwani bila yeye sisi hatuwezi kufanya chochote.pia napenda kumrudishia sifa na utukufu kwa kunitimizia moja ya lengo langu nililo kuwa nimejiwekea kwa mwaka huu,nalo ni kujiunga na jr kwani habari ninazoandika zinagusa watu wengi,vlevle napenda kushukuru uongozi mzma wa jr kwa kunipa nafasi hii.vlevle nashukuru kwa wale wote wanaotuma maoni yao,na na ahdi yote ntayafanyia kazi,na kuzidi kutoa dozi za mafanikio.na vilevle nakaribisha mtu yeyote mwenye stori za mafanikio au mbinu za kimaisha usisite kunitumia kwani mungu kasema umepewa bure nawe toa bure.kwahyo kwa mchango wako wa mawazo unakuwa umetoa kwa ajili ya wengine.kwahyo kwanjia hyo Mungu atakufanyia njia pasipo kuwa na njia.
Email yangu ni
godlistensilvan@gmail.com.
Na kama hauja pata nafasi ya kupitia website ya entreprenuership(ujasiri amali) bado haujachelewa anza leo na utaona mabadiliko na utatoboza.
Website ni
www.gshayo.blogspot.com.
Categories:
Ni kweli kumshukuru mungu ni jambo la maana sana kwani huweji kujua kama kesho utaamka salama. Pia huwezi kujua kama unakokwenda utafika salama. Au kazi zako unazofanya zitaendaje ni mungu peke yake anajua. Ni yeye peke yake ndiyo ajueye jinsi ya kututunza sisi wanae. Unafanya vizuri kumshuru
Bwana Shayo Mungu wangu akubariki kwa kutembelea blog yangu.Nimeitembelea blog yako ni nzuri na nimejifunza mambo mengi.Namuomba Mungu akuzidishie maisha na uelewa mzuri katika kuielimisha jamii. Tuzi kuwasiliana.Naomba kama utakuwa tayari blog yako ilink kwenye blog yangu na yangu pia ilink kweye blog yako.Mungu akubariki.