Kwanza kabla ya yote napenda kumshukuru Mungu kwa mambo mengi anayoendelea kunitendea mimi na wewe.
Mambo yakufaa kuzingatia wewe kama mjasiri amali na hata we kama siyo mjasiri amali
i-furaha uliyonayo endelea kuwa nayo,usiruhusu ushawishi wa watu kukuongoza wewe
ii-jiepushe na watu wanaofanya malengo yako yawe madogo
iii-huna sababu ya kujilinganisha na wengine
iv-jitie moyo unapokuwa na matatizo,jizoeze kujipa moyo
kukata tamaa ni dalhli ya kweli ya kushindwa
v-jipende wewe mwenyewe jipe matunzo mema.
Vi-ilishe roho yako na mwili wako vitu vizuri,chakula kizuri cha roho yako ni neno la Mungu.
Vii-jenga tabia ya kupumzika faragha,kusikiliza mziki kwa kuburudisha mwili wako na roho yako
ix-winning attitude-kuwa mshindi,penda kuwa mtu wa ushindi.
X-power of self talk-mazungumzo ya mtu mwenyewe anayojizungumzia,angalia aina ya maneno tunayojizungumzia kila wakati,angalia aina ya mawazo unayojiwazia wewe.

Categories:

Leave a Reply