Napenda kumshukuru Mungu kwa mambo mengi unayoendelea kututendea mimi na wewe Kama nilivyosema tangu kwenye mada iliyopita kwamba,malalamiko ya mteja wakati mwingine ni shule nzuri ktk kukukomaza kibiashara.
Nimeshuhudia wafanyabiashara wengi wakifundishwa jinsi ya kuhudumia wateja na wateja wenyewe
wapo wajasiri amali ambao walikubali kuwa wapole wakafundishika,wapo wale ambao walikuwa mbogo wakabaki mbogo lala.ni vema ukajijengea utaratibu wa kusikiliza kwa makini malalalamiko ya mteja hata kama yeye si matawi ya juu kwani anaweza kukuletea wateja wengine
mtego ambao umeendelea kushika nafasi ktk kuwabomoa wafanyabiashara ni huv wa kumtathmini mteja kwa kutazama muonekano wake
huu si mtazamo unaolingana na ile dhana kwamba.,mteja ni mfalme,kama kwel mteja kwako ni mfalme, basi ni mteja yeyote hata alivaa matambara,wewe unachotaka ni mshko.

Categories:

2 Responses so far.

  1. naam hii imetulia darasa kali sana hili, kila siku nilikuwa nazembea kulipitia lakini leo nimekukamata si unajua mimi na dada Yasinta damudamu kwahiyo nimekupata kupitia hapo. keep it up bro.
    see u next time bro

  2. Unknown says:

    Asante bro kwa kunipa moyo,nami kwa kadiri Mungu atakavyo niongoza ndivyo ntakavyotenda.karibu bro kwenye blog yangu.

Leave a Reply