Uhimidiwe Mungu mkuu uketie mahali pa juu,nakupa sifa na utukufu.leo ningependa kuendelea na mada yangu inayohusu Ujasiri amali.leo tuone MJASIRI AMALI NI NANI?
Mjasiri amali ni mtu ambaye anafikiria vitu na kuviendesha na vikaweza kuleta faida kwa faida yake yeye mwenyewe na kwa jamii,mt
Categories:
asante kwa ufafanuzi.
Asante dada yasinta.
unamuinua Mungu akatiye mahali pa juu kwa njia ya blog na maneno yako ya kinywa na ya keyboard au kwa moyo wako na ndani ya moyo wako ili upate nuru YAKE ndani ya moyo wako ili hiyo nuru iangaze na wengine waone njia kupitia wewe na matendo yako na kauli zako?
we need to change our beliefs, sio lazima utamke neno lolote la kimungu wala la kibiblia, waweza endelea na maongezi yako bili kumtaja MUNGU lakini watu wakaona mwanga na wakafuata njia sahihi.
lisha roho na uijaze kwanza ili wengine nao wakuige badala ya kunukuu biblia muda wote.
mshukuru Mungu kivyako, naye akijaa moyoni mwako, utatumika kama taa
Kamala. wewe ni mshauri mzuri sana. ila umesahau jambo moja, ya kuwa kwa kukiri kwa kinywa mtu hupata kujifundisha mwenyewe pia. kama kwa njia hiyo anasikia furaha mwache amsifu Mungu. Usione shida ikiwa makahaba na majambazi wanamsifu mungu, hata kama baada ya kumsifu wanakwenda kuua. Wanabaki kuwa watu wa Mungu, ingawa hawawezi kufanyika watu wa Mungu mpaka wametubia uovu wao.
Kwa mjawiriamali huyo mwache ampe sifa Mungu. Hata kama hana hakika juu ya maisha yake ya baadaye, lakini kwakuwa ameumbwa na Mungunni lazima amsifu Mungu. Tena Mungu ndiye kampa neema ya kuwa muwezeshaji wa wajasiriamali na mambo mengine mengi mno.
Usisahau kwamba, kwa n jia hiyo anashuhudia uwezo wa Mungu katika yote aliyo mkirimia. Yeye akinyamaza Mungu aweza kuinua mawe yamsifu.
Kamala, Usisahau kuwa hata wew unahitaji kumshukuru munu mchana peupe. Kwani imeandikwa, "atakaye nionea aibu mbele za watu nami nitamuonea aibu mbele za Baba yangu na malaika zake.
MUNGU AWABARIKI
JOACHIM E. M.
joetul1@yahoo.com
07686006182 (kwa SMS tu!)
great post man...
Namba namba ya simu yako