Kwanza napenda kumshukuru Mungu kwa mambo mengi anayoendelea kututendea mimi na wewe,nikianza kuandika hiki ambacho kimenisukuma kuandika naomba Mungu aniongoze kwa hekima na nguvu
Bidii kwenye mafanikio ya mjasiri amali ni kitu cha muhmu sana,kwahyo rafiki zangu wajasiri amali nchi yetu ina fursa nyingi sana za mafanikio,ninaamin hvyo ktk nchi ya kwetu mtu akikomaa kwa muda wa miaka mitatu akiwa na lengo na nia nzuri ni lazima atatoboza,mjasiri amali unatakiwa uwe makini na busy wakati wote usikubali kupeza muda wako hovyo,kutengeneza pesa leo ni rahsi sana kuliko kesho,kuwa busy kwa kujitengenezea mifereji ya pesa,mifereji ya kukuingizia pesa kuwa mbunifu usikubali kufanya biashara yako au mradi wako kama mfanyabiashara,mtaniuliza mjasiri amali siyo mfanyabiashara?mimi nakataa kwasababu siku zote na itabaki kuwa hvyo,siku zote mfanyabiashara ni kununua bidhaa na kuiuza kwa bei kubwa,tofauti na mjasiri amali anaponunua kitu,nilazima akiongezee naksi ndipo aingize bidhaa sokoni,mfano anaweza kununua mkate baada ya kuununua anaweza kuchukua mayai akaikaanga na ile mikate then akaifunga tena upya tayari kwa kuuzwa,hapo utagundua tofauti ya mfanyabiashara na mjasiri amali,halafu wafanyabiashara wengi ununua bidhaa kwa wajasiri amali na kuuza,kwani mjasiri amali cku zote ni mtu wa kubuni vitu na kuviendeleza na vkawa endelevu.
Kama mtu ana comment au chochote usisite kunitumia email,au kama una ushauri wowote kwangu au kwa wajasiri amali unaruhusiwa,kama una mbinu za mafanikio,au chochote kinacho husiana na ujasiri amali
godlistensilvan@gmail.com
godlistensilvan@hotmail.com
Muwe na wakati mzuri.
Categories:
endele hivyo hivyo kazi nzuri kwa leo nilitaka tu kukutembelea