Kwanza ya yote napenda kumshukuru MUNGU kwa mema yote anayoendelea kututendea,tummrudishia sifa na utukufu.
Tukiingia kwenye mada hii,kwa ninavyojua mimi vkwazo vya mjasiri amali ni
1-kukosa uvumilivu
2-kukosa uaminifu
3-kukosa ubunifu
4-kukosa elimu nzuri
5-kukosa mtaji,lakini siyo tatizo sana
kwa upande wangu ni hayo tu,nakaribisha na comments zenu ili tupeane uzoefu katika mambo ya biashara,kama una chochote unataka kutufundisha usisite kuniandikia ili niweze kuiweka hewani na wengine wapate mbinu za kibiashara na kimaisha,usisite kuniandikia kupitia
godlistensilvan@gmail.com
godlistensilvan@hotmail.com
godlistensilvan@yahoo.com
jamani muwe na wakati mzuri.
Categories: