Maisha mazuri siku zote yanategemeana na ndoto nyingi za watu duniani,hayo yote tunaweza kuitwa kwa ujumla mafanikio.
Kwa hyo tunapaswa kuzifanyia kazi ndoto zetu,na kuna njia kuu mbili za kupata mafanikio nazo ni
i-njia halali
ii-njia haramu
lakini hapa nataka tuzungumzie njia moja tu nayo ni njia halali,ingawa wanadaikuwa njia haramu ni rahisi sana na ambazo mtu akiitumia anaona ametumia njia sahihi kabisa lakini njia hii mafanikio yake hayadumu.
Ukitumia njia halali mafanikio yatakuja kwa muda wake na yatakuja taratibu ,kwani unapofanya kwa haraka utafanikiwa ndio,lakini unaweza kupata anguko kubwa,kwa ninavyojua mimi njia halali za mafanikio ni
i-kumweka Mungu mbele,mwombe akupe wazo kwa sababu ukiwa na hela bila ya kuwa na malengo ni sawa na kazi bure.
ii-ukiwa na wazo usiwashirikishe watu haraka.kwasababu anaweza kukimbia na wazo lako mshirikishe mtu mpaka uwe tayari umesha anza kulifanyia kazi.
iii-kuwa mwepesi kwa ushauri mbali mbali yaani kwa kuchambua upi mzuri ,kwa sababu kuna ushauri wa kudidimiza,omba hekima ya Mungu.
iv-upatapo pesa au chochote tumia kidogo kwa kupata kingi.
Na mwisho.whatever job you are doing be flexible be creative and always look out for new opportunities.
If you have suggestions or question on these topics let me hear you
my email,godlistensilvan@gmail.com.
Categories:
Ni kweli kabisa kwani afadhali kutumia njia halali kwani ukishafanya hivyo utaweza kuzitumia pesa zako kwa uangalifu kwa sababu utaona jinsi inavyouma kutafuta pesa.