Kwanza kabla ya yote ningependa kumshukuru Mungu kwa mambo mengi anayonipigania mimi na wewe,leo sitapenda kuongea sana,
kwanza leo nataka kuandika sifa ambazo mjasiri amali anayetoa ajira,huwa kuna vgezo muhmu anavpendele kutoka kwa huyo anayehtaji ajira,navyo ni
1-mchapakazi,ninaposema mchapa kazi namaanisha kuwa ni mtu ambaye akiingia kazini na kuanza kazi mara moja na sio mpaka apangiwe.
2-mwaminifu,mwaminifu ni mtu ambaye mwaminifu wa fedha kumbukumbu na muda wa mwajiri wake.
3-team bulder(team worker) na maanisha awe tayari kushirikiana na wengine
4-awe ni mtu wa kujielezea na kueleweka zaidi.
5-mbunifu,ninaposema mbunifu namaanisha ,kuleta mawazo mapya,awe ni mtu wa kuangalia mbele
6-na mwisho awe ni mtu wa malengo.
Kama kuna mtu anataka kuongezea chochote hapo anaweza kuwasiliana nami kupitia email yangu
godlistensilvan@gmail.com.
Karibuni sana.
Muwe na siku nzuri.
Categories: