Kwanza kabla ya yote nimshukuru MUNGU kwa mambo mengi anayoendelea kututendea kila siku iitwayo Leo.hatuna budi kumrudishia sifa na utukufu.
Leo ningependa tucheki mjasiri amali anatakiwa awe na malengo ya aina gani,kwa uelewa wangu mjasiri amali anapaswa kuwa na malengo aina sita,mimi sita ya nyambua nitayaandika tu,na kama kuna mtu yeyote anayeweza kunyambua lengo lolote atakalo vutiwa nalo asisite kuniandikia email ili niandike ili tuweze kushirikiana,na kugawana maujanja ya kijasiri amali,malengo yenyewe ni
(i) Malengo ya kimwili (physical goals).
(ii) malengo ya kifedha (fanancial goals).
(iii) malengo ya kiroho (spiritual goals).
(iv) malengo ya kikazi(career goals).
(V) malengo ya kiakili(mental goals).
(Vi) malengo ya kijamii (social goals)
malengo ninayo yaelewa ni hayotu,kama nilivyosema hapo juu,kama una stori,habari,swali,kuomba ushauri,au tatizo lolote la kibiashara.
My email godlistensilvan@gmail.com
godlistensilvan@hotmail.com
godlistensilvan@yahoo.com.
MUWE NA SIKU NZURI.
Categories: