Tumshukuru MUNGU kwa kutuwezesha kuiona tena siku hii ya MWISHO wa mwezi huu wa nane (8),naweza kusema kweli siku kama hii haijawaikutokea tangu kuumbwa misingi ya DUNIA na haita kaa ijirudie tena.
Tumpe MUNGU sifa na utukufu,kwani bila MUNGU sisi si KITU.
Kwa WAKRISTO na WAISLAM,na madhehebu mengine ambayo sijayaandika hapo,
KWA WAISLAM MWEZI WA TISA WATAKUWA WANATIMIZA MOJAWAPO YA NGUZO MUHIMU SANA,TUTAKUWA PAMOJA TUKIOMBEANA NA KUSAIDIANA.
Au siyo jamani?
NB:msisite au kuogopa kutuma maoni yenu au jambo lolote ambalo unatakakutushirikisha au kutufundisha,hasa kuhusu mambo ya BIASHARA NA MAFANIKIO.
plz email me at godlistensilvan@gmail.com,au godlistensilvan@hotmail.com.au godlistensilvan@yahoo.com.
MUWE NA WEEK END NJEMA WAPENDWA.

Categories:

One Response so far.

  1. Anonymous says:

    Mshikaji umelonga na G.O.D akubarika Tchaoo?????

Leave a Reply