Mimi kama mimi navyojua Ujasiri amali ni:Kile kitendo chakukusanya mahtaji ambayo yanahtajika ktk kuanzisha biashara,na ukaianzisha hyo biashara na ikaendelea hyo biashara na ikaweza kutengeneza faida,kutoka kwenye hyo biashara kitendo hcho chote ndicho naamini 2taweza kukiita ujasiri amali.
Hebu leteni na nyie maoni yenu jamani,wellcome.

Categories:

Leave a Reply