Kwanza kabla ya yote napenda kumshukuru MUNGU kwa kutuwezesha tena kuiona siku hii ya leo.
Ngoja tuingie kwenye mada yenyewe,kwa mtazamo wangu sifa za mjasiri amali ni
(i) kuwa mbunifu
(ii) mchapakazi
(iii) mwenye malengo
(iv) kutokata Tamaa
(v) mwaminifu
(vi) kuwa mwaminifu,
hizo ndizo sifa za mjasiri Amali kwa ninavyojua mimi,na nyie wadau mnakaribishwa kutoa coment zenu,karibuni.

Categories:

Leave a Reply