Kwa uelewa wangu kwanza kabisa mjasiri Amali ni mtu anayefikiria vitu,na kuviendesha na vikaleta faida,kwa faida ya kwake yeye au jamii,mimi huo ndio mtazamo wangu kuhusu Mjasiri Amali.karibuni na nyie mtoe maoni yenu wapendwa.
Categories: