Home

POLENI WATANZANIA WOTE

 picha kwa hisani ya millad hayo website
G shayo blog inapenda kutoa pole kwa ndugu na jamaa wote na serikali ya Mapinduzi ya Zanzbar n a Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwa msiba mzito wa ajali ya Meli ya Skagit iliyotokea jana
Mungu aziweke mahali pema peponi na majeruhi wote awawezeshe wapone mapema

No comments:

Post a Comment