Habari marafiki zangu,
Ni siku na muda mwingine uliomwanana sana leo nataka niwakumbushe mambo muhimu ambayo yatawapa kusonga mbele ktk
shughuli zako za kila siku, hususani kukupatia maendleleo. Jambo la kwanza ni kuthubutu kufanya yale uliyoyakusudia na la pili usitake
kukata tamaa hata kama unaona giza wala huoni mwanga wa matumaini yako, mwaka ndo huo unakwisha wala huoni nini ulichofanya kwa miezi sita hii napenda kukwambia usikatishwe tamaa na barries zinazokuzonga katika njia yako. wewe kaza buti songa mbele
Yuko yeye aliyeianzisha safari (Mungu) ndiye atakayemalizia
siku njema
by ladyfurahia member of jf
tupo pamoja na hakuna lisilowezekana!!
ReplyDeleteKweli kabisa dada yasinta tuko pamoja sana
ReplyDelete